{"id":5097,"date":"2012-05-20T07:10:00","date_gmt":"2012-05-20T14:10:00","guid":{"rendered":"http:\/\/wp.www.newmessage.org\/?p=5097"},"modified":"2012-05-20T07:10:00","modified_gmt":"2012-05-20T14:10:00","slug":"mungu-anaongoza-binadamu-katika-mwelekeo-mpya","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/mungu-anaongoza-binadamu-katika-mwelekeo-mpya\/","title":{"rendered":"Mungu anaongoza binadamu katika mwelekeo mpya"},"content":{"rendered":"<p><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza binadamu katika mwelekeo mpya, mwelekeo ambao binadamu hajawai kuupitia. Kwa kuwa dunia imebadilika na binadamu anakabili Jumuiya Kubwa ya waangavu ulimwenguni &#8211; mabadiliko makubwa, kizingiti kikubwa katika evolution ya binadamu, wakati wa mageuzi makubwa na wasiwasi, wakati wa hatari kwa familia ya binadamu, wakati ambao utasonga kwa haraka na matukio yatayojitokeza kwa haraka. <\/span><\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza binadamu katika mwelekeo mpya, katika mwelekeo wa jamii ya dunia ambayo ina uwezo wa kuendeleza dunia na kukabiliana na hali halisi ya maisha katika ulimwengu, ambayo itabidi mukabiliane nayo na hata kwa sasa munalazimishwa kukabiliana nayo.<\/span><\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni mabadiliko makubwa ambayo watu wengi wanayahisi lakini hawayaelewi. Harakati ya dunia inatokea kwa kasi, ambapo maisha ya watu itakuwa ya kuzidiwa na ya kushindwa katika mabadiliko makubwa ya mazingira ambayo yanajitokeza kwa njia ya mageuzi ya kisiasa na kiuchumi. <\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Haya yote sasa yako katika mwendo na hayawezi kupunguzwa, inaweza tu kuwa tu kuwa mitigated. Hapa watu wanaweza tu kukabiliana nayo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni katika kizingiti hiki kikubwa katika historia ya binadamu kuwa Ufunuo Mpya umemtumwa duniani, na Mtume ametumwa hapa kuupokea, kuuandaa Ujumbe huu na kuueleza. Kwake, safari hii ilikuwa ndefu, safari ndefu na ngumu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ujumbe wa ubinadamu sasa ni mkubwa, ni mpana zaidi na ni kamilifu zaidi kuliko Ujumbe wowote uloyowahi kumtumwa duniani, kamili na mafundisho na ufafanuzi ili hekima yake na Knowledge yaweze kuonekana na kutumiwa ipasavyo na si tu kuachwa kwa utafsiri wa binadamu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Watu hawaoni, hawasikii. Hawajijui wenyewe. Na ujuzi wao wa asili wa kutambua mazingira, kwa wengi, umepotea na haujakuzwa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii inafanya kazi ya Mtume iwe ngumu zaidi. Yeye lazima abebe fumbo, kwa kuwa Ufunuo umo zaidi ya eneo la akili na kwa hakika hailinganishwi na matarajio ya watu, imani au ufahamu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza dunia katika mwelekeo mpya. Ni mwelekeo ambao ulikuwa ni hatima ya binadamu, lakini utakuwa mpya kwa watu wa dunia. Utakuwa mpya kwa uelewa wao.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mafunuo yote kutoka kwa Muumba daima huwa kama hii. Yote huwasilisha ukweli mpya, mwamko mpya, mwelekeo mpya na ahadi kubwa zaidi.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Giza inaongezeka duniani, na ahadi hii kubwa zaidi inahitajika sasa. Ni mwangaza wa Knowledge peke yake, akili kubwa ile Muumba ameitoa kwa familia ya binadamu na kwa jamii zote ulimwenguni, inaweza sasa kuwawezesha muelewe na mujibu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kwa kuwa unarudi kwa Mungu kwa masharti ya Mungu, Ujumbe wa Mungu lazima ueleweke, kama vile ulivyo na vile lengo lake liko.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kutakuwa na mapambano na ubishi kuhusu haya, na Mtume na wafuasi wa Mtume lazima wakabiliane na ugumu huu, kuchanganyikiwa huku na wawe na uvumilivu mkubwa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ufunuo kama huu hautakubaliwa hapo awali, na ni wachache tu watakuwa na uwezo wa kujibu kabisa. Lakini wakati ukiendelea na dunia ikizidi kuwa na matata, Ujumbe Mpya utapata kivutio kikubwa, utambuzi mkubwa na umuhimu mkubwa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Unayajibu maswali ambayo bado hamujajifundhisha kuyauliza. Ni maandalizi ya mustakabali na pia tiba ya wakati wa sasa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Wanafalsafa na wanateolojia wenyu hawatajua cha kufanya na ujumbe huu. Watakuwa na masuala na Ujumbe huu. Hautaendana na uelewa wao, ule ambao wamewekeza wakati yao.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Viongozi wa dini watateta dhidi yake kwa sababu inaongea kuhusu ukweli ambao hawajatambua.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza bunadamu katika mwelekeo mpya.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mtume yuko hapa kutoa Ufunuo. Imemuchukua miongo kuupokea. Itachukua miongo kadhaa kutambuliwa duniani.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Lakini tatizo ni wakati. Binadamu hana muda mrefu wa kujiandaa kwa dunia mpya na kwa Mawasiliano na maisha katika ulimwengu &#8211; Mawasiliano ambayo tayari yanatokea, Mawasiliano ya kusudi na nia hatari.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Watu wako obsessed na mahitaji yao, masuala yao, tamaa yao na matakwa yao. Hawaoni harakati ya dunia.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kwa kua dunia imebadilika, lakini watu hawajabadilika nayo. Na sasa munakabiliwa na seti mpya ya ukweli.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nini Mungu atasema kuhusu haya watu wakihisi kuzidiwa, kama unabii wao wa mustakabali hautatokea, kama kurudi kwa mwokozi wao hakutafanyika, kama wanaamini kuwa Mungu anajenga matatizo haya yote kwao?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ufunuo unasemea haya yote, lakini lazima muwe wazi kwa Ufunuo, na lazima mukabiliane na matarajio ya mabadiliko makubwa, kwa kuwa mabadiliko haya tayari yamo kwenyu na kwa dunia, na yatazidi kuendelea.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hamuwezi kurudi nyuma maelfu ya miaka na kujaribu kutafakari yanayotokea leo, kwa kua mageuzi ya binadamu yamehama katika sehemu mpya, sehemu ya kuhodhi duniani na sehemu ya mazingira magumu ulimwenguni.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mafundisho ya kutayarisha binadamu kukabiliana na dunia mpya na Jumuiya Kubwa yataanza wapi \u2013 matukio mawili ambayo yatabadilisha mwelekeo wa historia ya binadamu na kuathiri kila mtu?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Serikali haijui. Viongozi wa dini hawajui. Wataalam hawajui. Vyuo vikuu haviwezi kuandaa watu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ufunuo lazima utoke kutoka kwa Muumba wa maisha yote, na tukio hili ndilo linatokea sasa, kwa kuwa munaishi katika wakati wa Ufunuo na Mtume yuko duniani.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kama bado yuko duniani muna fursa ya kujitayarisha.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Akitoka duniani, hali itakuwa tofauti. Itakuwa ngumu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kwa haya, yeye ni mwangaza duniani.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Yeye ni mtu mnyenyekevu na hana madai yoyote ila kuwa Mtume, kwa kuwa hii ndio ile kazi aliyopewa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Lazima atayarishe ubinadamu kukabiliana na dunia mpya kupitia njia ya Ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Lazima atayarishe ubinadamu kukabiliana na Jumuiya Kubwa kupitia njia ya Ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Lazima azungumze kuhusu mabadiliko makubwa yanayokabili binadamu na tayari yanakabili watu kila mahali kupitia njia ya Ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza binadamu katika mwelekeo mpya.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Je, ubinadamu unaweza kusonga?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Je, ubinadamu unaweza kujibu?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Je, unaweza kujibu?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Unaweza kukubali kuwa unaishi katika wakati wa ufunuo na kufikiri maana ya hii kwa maisha yako na changamoto ambayo inaleta kwa maisha yako?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Watu hawatambui kiasi ambacho hali ya maisha na mazingira yao inategemea hali ya dunia na harakati ya dunia.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni katika mataifa maskini ambapo haya yote yamo wazi.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Katika mataifa tajiri, utajiri unawalinda kutokana na ukweli wa maisha kwa kiasi fulani na kwa muda fulani. Lakini utajiri huu utaisha, na ukweli mkubwa tayari umo nanyi.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Uamuzi utatokana na jinsi ubinadamu utajibu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Uamuzi utatokana na kile ambacho kitatoa taarifa kwa watu binafsi.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni sauti gani ambayo wataisikiliza, kama itakuwa sauti ya nguvu na uwepo wa Knowledge ile Mungu amewapa iwaongoze na iwalinde, ama kama itakuwa sauti ya utamaduni wao ama sauti ya hofu au sauti ya hasira au tamaa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Uchaguzi ni msingi kwa mtu binafsi, na kwa kile watu watachagua kitaamua hatima na mustakabali wa binadamu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kwa hivyo uwajibika ni wa kila mtu na sio tu viongozi na taasisi.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio sababu Mungu anatoa Ujumbe Mpya kwa watu na sio kwa viongozi wa mataifa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kwa kuwa viongozi hawana uhuru. Wamefungwa na ofisi zao na wale ambao wamewachagua, na matarajio ya wengine.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio maana ufunuo unakuja kwako wewe na kwa watu. Ni uchaguzi wao na uwezo wao ambao utatoa uamuzi.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Watu wanataka vitu vingi. Hawataki kuyapoteza yale wanayomiliki. Wanaishi kwa wakati wa muda mfupi. Hawana mtazamo wa kuona mahali maisha yao inaenda.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ufunuo utakuwa wa mshtuko mkubwa na changamoto kubwa kwa kila mtu, lakini mshtuko huu na changamoto ni mshtuko wa Ufunuo. Na changamoto hii inakabiliwa ni mapenzi ya Muumba. Na changamoto ni kuona kama unaweza kujibu na asili ya majibu yako.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Huwezi kusimama mahali upo, kwa kuwa dunia inabadilika, na itazidi kubadilika. Inasonga na lazima usonge nayo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio kutungamana na maisha.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio kutoka kwa utenganisho.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio kujikomboa kutoka kwa distractions na obsession.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio kujifunza kusikiza, kuona, kutuliza akili yako ndio uweze kuona.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio kuyawacha malalamiko yako ili upate kuelewa pale ulipo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Nii ndio kuchukua Hatua kwa Knowledge ndiyo uwepo na nguvu ya Mungu izungumze kukupitia na ikuzungumzie.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Huu ndio Ufunuo unaoongoza ubinadamu katika mwelekeo mpya.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Je, watu wako tayari kwenda, ama watakaa nyuma &#8211; wakikabiliana na Mawimbi Makubwa ya Mabadiliko, kama wamelala katika pwani wakati Mawimbi Makubwa yanapata nguvu, wanaishi katika ufukwe na kufikiri kwamba yote yamo salama, na wakiishi kwa muda, wakiwa hawawezi kukabiliana na ishara za dunia, wakiishi kulingana na mawazo ambayo hayafuatani na hali halisi ya maisha?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nani anayeweza kujibu?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nani ataagalia?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nani atasikiliza?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nani atakayeweka kando dhana zake na imani yake na mapendeleo yake ndio aweze kukiona kitu, kukisikia kitu, kukijua kitu?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio Mtume atakuuliza uifanye.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio Unfunuo unahitaji kutoka kwako.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio maisha katika dunia mpya itahitaji.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio uibuka katika Jumuiya Kubwa ya waangavu inahitaji.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Je, binadamu atakuwa mjinga na dole, chachili na asiyewajibika, akili yake kubwa ikose kutambuliwa na kutumiwa?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Haya ndio maswali.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Majibu yeke hayako wazi, kwa kuwa bado hayajaibuka. Bado hayajakabiliana na jaribio la kweli ambalo limo katika familia ya binadamu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Lakini Muumba wa maisha yote anaipenda dunia na anapenda ubinadamu na ameituma nguvu ya ukombozi duniani \u2013 kukomboa mtu binafsi na kurejesha nguvu yake na uadilifu, ili aweze kukabiliana na changamoto ya maisha inayoibuka katika upeo wa macho.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza binadamu katika mwelekeo mpya.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Huu ndio wakati wa kujitayarisha, kupokea na kusaidia ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Watu watateta, Watalalamika. Watapinga. Watamulaani Mtume. Watakemea Ufunuo. Hawawezi kujibi, hawatataka kuwaza maisha yao na dhana zao upya. Watapinga Ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Haya yote hufanyika wakati wa Ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Wale walio na uwekezaji mkubwa katika siku za nyuma watapinga dunia mpya na kila kitu ndani yake.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hawaoni. Hawataweza kujua. Hawana ujasiri wa kifikiria msimamo wao upya. Hawana unyenyekevu wa kusimama wakikabiliwa na Ufunuo.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nini Mungu anaweza kuwafanyia?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Wanauliza vitu vingi kutoka kwa Muumba, lakini hawawezi kujibu jibu la Muumba.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni nini Mungu anaweza kuwafanyia?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kuwa miongoni mwa kwanza kujibu ili zawadi zako kubwa katika maisha ziweze kuwa imara na kuwa na nafasi kujitokeza katika siku na miaka ya maisha yako.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Hii ndio nguvu ya Ufunuo \u2013 kutoa hekima na Knowledge ambayo binadamu mno anahitaji sasa kwa kujitayrisha kwa mustakabali ambao utakuwa tofauti na siku zilizopita.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Baraka ziko nanyi. Nguvu ya ukombozi iko ndani yenyu, kwa Knowledge ndani yenyu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Lakini ni jambo gani ambali linaloweza kuignite Knowledge hii na kuiita na kukuwezesha uikaribie, uielewe na uifuate kwa mafanikio?<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni lazima iwe ignited na Mungu, na ufunuo uko hapa ili kuweka katika mwendo ukombozi mkubwa wa watu binafsi katika maandalizi ya dunia mpya na kwa hatima ya binadamu ulimwenguni, ambayo bado haijatambuliwa na haijatimizwa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Sasa ndio wakati wa kujibu.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni wakati wa kuwa mwaminifu kwako mwenyewe, bila kulingana maisha yako na mapendekezo yako, lakini kwa utambuzi wa kweli ndani yako.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kukabiliana na Ufunuo kutaleta changamoto ya kujibu kwa uaminifu huu mkubwa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Kukabiliana na Ufunuo kutaleta changamoto ya uaminifu huu mkubwa.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni changamoto kubwa ya maisha yako. <\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni changamoto muhimu zaidi ya maisha yako.<\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Ni tukio muhimu ya maisha yako. <\/span><\/p>\n<p align=\"JUSTIFY\"><span style=\"font-size: medium\">Mungu anaongoza ubinadamu katika mwelekeo mpya.<\/span><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Mungu anaongoza binadamu katika mwelekeo mpya, mwelekeo ambao binadamu hajawai kuupitia. Kwa kuwa dunia imebadilika na binadamu anakabili Jumuiya Kubwa ya waangavu ulimwenguni &#8211; mabadiliko makubwa, kizingiti kikubwa katika evolution ya binadamu, wakati wa mageuzi makubwa na wasiwasi, wakati wa hatari kwa familia ya binadamu, wakati ambao utasonga kwa haraka na matukio yatayojitokeza kwa haraka. [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[6],"tags":[14],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5097"}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5097"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5097\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5097"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5097"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5097"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}