{"id":1279,"date":"2011-10-26T16:50:06","date_gmt":"2011-10-26T23:50:06","guid":{"rendered":"http:\/\/wp.www.newmessage.org\/?p=1279"},"modified":"2011-10-26T16:50:06","modified_gmt":"2011-10-26T23:50:06","slug":"mungu-ni-nini","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/mungu-ni-nini\/","title":{"rendered":"Mungu ni nini?"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: left\">\n<p style=\"text-align: left\">&#8220;Hapa lengo lako halitakuwa Mungu wa dunia yako na muda wako, bali ni Mungu wa dunia zote na wakati wote.&#8221;<\/p>\n<p style=\"text-align: left\">Katika Ujumbe Mpya, Mungu hufikiriwa ndani ya muktadha mpana wa ulimwengu mzima, badala ya ndani ya hii dunia moja. Ni hatima ya binadamu kuibuka ndani ya Jumuiya hii Kubwa ya maisha ya waangavu.Katika <em>Kiroho cha Jumuiya Kubwa<\/em>, kitabu cha theolojia ya Ujumbe Mpya, hivi ndivyo Mungu ameelezwa,<\/p>\n<p style=\"text-align: left\"><em>&#8220;Katika Jumuiya Kubwa Mungu ni kamili. Katika dunia yenyu, Mungu ni <\/em><em>Mungu wa dunia yenyu, Mungu wa jamii yenyu, Mungu wa historia yenyu, <\/em><em>Mungu wa asili yenyu, Mungu wa hofu na matarajio yenyu, Mungu wa mashu<\/em><em>jaa wenyu, Mungu wa janga yenyu, Mungu aliye na mahusiano na kabila yenyu <\/em><em>na wakati wenyu. Lakini katika Jumuiya kubwa, Mungu ni mkubwa sana, kamili<\/em><em>\u00a0zaidi ya ufafanuzi wa taifa yeyote, zaidi ya historia ya taifa yeyote zaidi ya <\/em><em>asili, hofu na matarajio ya taifa yeyote, zaidi ya uelewa wa filosofia. Na hata <\/em><em>hivyo, unapata Mungu katika sirika safi, katika wakati usio na muda wa utam<\/em><em>buzi, katika hamu ya kutenda zaidi ya nyanja ya maslahi na nia yako binafsi,<\/em><em>katika utambuzi wa wengine, katika maarubu ya kutoa, katika ufarisi usioweza <\/em><em>kuelezwa wa mvuto. Hizi zinaweza kutafsiriwa. Hii ni Mungu katika vitendo.<\/em><em>Kwenyu, hii ni Mungu.<\/em><\/p>\n<p style=\"text-align: left\"><em>Muwaze Mungu katika mtazamo kwa Jumuiya Kuu&#8211; sio kama Mungu wa bi<\/em><em>nadamu. <\/em><em>Sio kama Mungu wa historia yenyu, sio kama Mungu wa mateso na <\/em><em>majaribu, lakini kama Mungu wa wakati wote, wa mataifa yote ulimwenguni,<\/em><em>wa vipimo vyote, kwa wale walio katika mwanzo wa mfululizo wa mabadiliko <\/em><em>ya utamaduni, na kwa wale walio mwisho wa mfululizo wa mabadiliko ya uta<\/em><em>maduni, kwa wake wanaofikiri kama wewe na kwa wale ambao wanafikiro to<\/em><em>fauti, kwa wale ambao wanaamini na kwa wale abao imani ni kile ambacho <\/em><em>hakiwezi kuelezwa. Hii ndiyo Mungu katika Jumuiya Kubwa na hapa ndipo laz<\/em><em>ima uanze.&#8221;<\/em><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>&#8220;Hapa lengo lako halitakuwa Mungu wa dunia yako na muda wako, bali ni Mungu wa dunia zote na wakati wote.&#8221; Katika Ujumbe Mpya, Mungu hufikiriwa ndani ya muktadha mpana wa ulimwengu mzima, badala ya ndani ya hii dunia moja. Ni hatima ya binadamu kuibuka ndani ya Jumuiya hii Kubwa ya maisha ya waangavu.Katika Kiroho cha [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[6],"tags":[26],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1279"}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1279"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1279\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1279"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1279"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.v6.newmessage.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1279"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}