Kushuhudia Ufunuo

Mtume yuko dunia. Yeye ameuleta Ujumbe mkubwa kwa binadamu, Ujumbe ambao amekuwa akiupokea kwa zaidi ya miaka 25, ujumbe wa kina la kutosha kuongoza ubinadamu katika hatua ya pili kubwa ya mageuzi yake na maendeleo.
Yeye ni mtu wa kawaida, lakini katika muonekano tu. Kwa maana yeye anabeba mbegu ya uelewa mkubwa na Ukweli Halisi Kubwa – ukweli halisi wa maisha katika ulimwengu; ukweli halisi wa dimension kubwa ya kiroho cha dunia na kwingineko; ukweli halisi wa dhamira, maana na mwelekeo, ukweli halisi wa uwasiliano na uwepo wa Malaika, ambao uwajibu wao ni ustawi na maendeleo ya familia ya binadamu.
Watu wengi watajaribu kumukana. Watu wengi watamhukumu au wataanza kumdhihaki. Ni nani atamusimamia? Ni nani miongoni wenyu atashuhudia Ufunuo? Nani kati yenu ana nguvu ya kutosha, ni jasiri kutosha na mwaaminifu wa kutosha kufanya hii?
Uwepo wa Mtume ni wa thamani kubwa duniani. Yuko katika mazingira magumu. Kutakuwa na makundi mengine na watu binafsi ambao watajaribu kumwangamiza Tangazo yake ikitambuliwa zaidi na kugunduliwa zaidi duniani.
Ni nani atashuhudia ufunuo?
Watu wanataka mambo mengi kutoka kwa Muumba wa maisha yote. Na watu wanataka mambo mengi kutoka kwa Mtume aliye tumwa, Mtume peke yake katika dunia ya leo na siku mingi ijayo.
Watu wanataka miujiza. Watu wanataka kuokolewa kutoka mazingira yao. Watu wanataka kupewa neema na dispensations. Watu wanataka kutumikiwa. Watu wanataka kutiwa na nguvu. Watu wanataka ushindi katika vita na ustawi kwa amani.
Wataleta matarajio haya kwa Mtume, hasa kwake. Lakini anaweza tu kupointi kwa Ufunuo, ambayo ni ya kina na ya uelekevu zaidi kuliko vile watu wengi wanatambua na itahitaji ushiriki mpana na utambuzi, mazoezi zaidi na matumizi iliyo aminifu.
Ni nani anaweza kuzungumza kwa niaba yakei? Ni nani anaweza kusahihisha makosa mengi ambayo hutokea kwa sababu ya tangazo hilo? Hata miongoni mwa wale ambao watajibu vyema, kutakuwa na matarajio isio sahihi. Kutakuwa na madai hazitaelezwa.

Kutakuwa na laumu na hukumu kuwa Ujumbe na Mtume hatimizi matarajio ya watu. Ni nani atazungumza kwa niaba yake?
Ujumbe na Mtume zinahitaji mashahidi wengi. Zinahitaji mwelezo mkubwa wa utambuzi na dhamira. Kwa wale ambao hii ni hatima yao, ni jambo muhimu mno katika maisha yao.

Wakati wataondoka dunian na kurudi kwa familia zao za kiroho, watauliza, “Je ulizungumza kwa niaba Mtume? Je, ulimutambua Mtume? Je, ulimusaidia Mtume?”
Itakuwa ni tukio kubwa na nafasi muhimu zaidi katika maisha yao. Ni nani anaweza kujibu hii? Ni nani anaweza kutambua hii? Ni nani anaweza kuwajibika hapa, tukio kubwa ile wataweza kuwa nayo?
Watu wanataka mambo mengi, lakini kinachotakiwa kutoka kwao ni kitu kingine. Wakati wa Ufunuo, vipaumbele hubadilika. Hii ni tukio ambalo hufanyika tu kila milenia, na wewe sasa uko duniani katika wakati huu.
Utaona Mtume ananyanyaswa na kudharauliwa na kuudhiwa. Ni nini atawaambia, ambao ni walengwa wa Ufunuo Mpya kutoka wa Mungu? Ni nini itakiita mbele kilicho ndani yako, ambaye amepewa heri na heshima ya kupokea Ujumbe Mpya kwa binadamu na kuwa miongoni mwa wale wa kwanza na wapokeaji wa mwanzo?
Kama huwezi kuhisi na kuona mambo haya Sisi tunasemea, basi akili yako inaenda wapi? Ni nini inaweza kuwa muhimu zaidi kuliko hii? Furaha yako? Usalama wako? Idhini yako kutoka kwa watu wengine? Msimamo wako kwa kijamii? Hili ni swali na mtanziko kwa kila mtu ambaye anaweza kujibu.
Kama wale wanaopinga Mtume watakuja kwenu na kusema, “Ni nini unaamini? Msimamo wako uko wapi?” Ni nini utasema? Kama Mtume anakanwa au kupuuzwa au kuudhiwa, utasema nini hapa?
Watu wana nia ya kupokea baraka na faida ya Ufunuo, lakini faida hii iko pamoja na jukumu, uwezo wa kujibu. Unawaita wawe mashuhudi na sio tu wapokeaji – kufanya mazoezi peke yao kwa siri, kwa siri kama wamejificha mahali duniani.
Ni nani anaweza kuutetea Ufunuo wakati changamoto itakuja? Ni nani atazungumza wakati Ujumbe na Mtume wanashambuliwa na wale walioonekana kuwa wana heshima na august katika jamii wakilaani mteule wa kuleta ufunuo wa Mungu duniani?
Ni nini utahisi na kufikiri wakati unaona wale ambao unawaajabia, wale ambao unawaheshimu, wakigeuka Ufunuo? Je hii itakutia katika shaka na fujo? Je itafanya ujisikie u mdhaifu na asiye na matumaini?
Angalia historia. Kuna Mitume yeyote mkubwa ambaye amewahi kukumbatiwa nchini katika wakati wao au kama wale walio karibu nao wakaelewa kwa mafanikio?
Kama Mtume angepata madaraka ya kisiasa, oh, bila ya shaka kungekuwa na visasi vingi. Oh, bila ya shaka, kungekuwa na mipango mengi. Oh, bila shaka, ingeonekana kama wengi wanamfuata, wakitaka kuwa upande wa kushinda katika migogoro. Naam, wengi wangefika, wakimsifu na kumutabua Mtume, kwa maana wangekuwa wanatafuta faida kutoka kwa uwepo wake na nafasi yake. Naam, mawaziri waaminifu wangeonekana. Naam, watu wangeweza kuamka na kushauku.
Na hiki ni kitu gani kwa Mtume, kuwa na ufuatia mkubwa wa watu ambao hawaelewi, ambao matarajio yao sio sahihi, ambao visasi vyao sio aminifu, ambao heshima na urai ni ya uongo na unaharibiwa kwa urahisi na wengine? Ni nani atashuhudia kulingana na nguvu ya Knowledge, akili zaidi ndani yao?
Katika hatua hizi za mwanzo za tangazo, Mtume atapuuzwa. Yeye atahukumiwa wazi, watu watamukosoa kwa ukali – ataitwa ibilisi na kuitwa mpumbavu, ataitwa mpotovu, ataitwa mambo mengi na wale ambao hawawezi au hawataki kujibu, atahukumiwa na wale ambao tu wanatafuta kulinda na na kuhifadhi nafasi yao ya sasa na uwekezaji wao wa awali, na wale ambao hawana ujasiri wa kuhoji visasi vyao, imani yao au mawazo.
Na, oh, Wataalamu hawatakuwa bora, wale wametia juhudi kubwa sana kwao wenyewe na kulipwa bei kubwa na wamefanya maafikiano mengi kupata nafasi yao ya mamlaka katika jamii. Je, watahatarisha haya yote na kutambua mtu ambaye ana utambuzi mdogo, mtu ambaye ana ufuataji mdogo sana, mtu ambaye Ujumbe wake unaonekana ni wa ajabu na ambaye matangazo yake yanakataliwa na yanaleta chuki?
Je Wataalam hawa watahatarisha sifa zao, nafasi yao ya kijamii, ajira yao, kushuhudia Ufunuo? Je wanasiasa watahatarisha uwekezaji wao – msimamo wao, mafanikio yao – kwa kutambua Mtume?
Hapana, unaweza kuona, mzigo huu uko juu yako na wengine, wengine wengi. Usiangalie wasomi au wenye heshima kuhatarisha nafasi yao ili washuhudia Ufunuo. Usidhani kwamba Mtume tu anhitaji kuwa katika mahusiano na baadhi ya watu wenye nguvu, maana utacheza role ya Judas – kwa nia njema, pengine, lakini kwa upofu na ukweli wa hali hii.
Mtume ana kifunguo cha mustakabali wa ubinadamu na mafanikio ya siku zijazo. Ni nani atashuhudia hii? Ni nani atashikilia nafasi hii, nafasi ambayo dunia haiheshimu au haitambui?
Watu wengi watakuja, wakitaka vitu vingi. Kutakuwa na nodi ya vichwa na nyuso za kutabasamu, lakini ni nani ambaye atashahudia hii?
Wewe ambaye unatafuta dhamira na maana katika maisha yako budi uelewe kuwa hatimaye hii ndio maana yake –  kwamba lazima usimamie kitu kikubwa zaidi kukuliko, kubwa kuliko maslahi yako binafsi au faida, kubwa kuliko inurement yako ya kibinafsi. Lazima usimamie kitu kikubwa ukikabiliwa na upinzani, ukikabiliwa na ujinga na upumbavu na kukataliwa.
Hii itakuita nje ya vivuli. Hii itakuita nje ya kujinyima kibinafsi. Hii itawaita wengine kutoka kwa kuwepo yao duni, na ya siri. Hii itatoa watu nje ya kukosa kujithamini. Hii itatoa watu  nje ya kujishuku kibinafsi na kujikana kibinafsi, wito sasa wa kushahudia kitu kikuu, kitu kikubwa, kitu cha kina na cha ufanisi, kitu ambacho ubinadamu unahitaji lakini hauwawezi kukitoa kwao wenyewe.
Kwa wale wote ambao wanaweza kupata baraka za Muumba sasa, hatimaye,lazima wakabiliwe na maswali haya. Hawawezi tu kuwa katika sehemu ya kupokea – wakitaka zengine, wakitarajia zengine na kushukuru – hao pia lazima wapande katika nafasi ya kujieleza kibinafsi. Hao pia lazima watetee kile ambacho kinawahudumia. Hao pia lazima wahatarishe hofu yao na mashaka yao ya kibinafsi kufanya uelezo mkubwa kwa wengine. Hao pia lazima wakabiliane na kukataliwa na kijamii.
Ni asili ya wito wao. Hakuna wito au kusudi ambayo haihusiki na baadhi ya mambo haya. Huwezi tu kutangaza madhumuni kwako mwenyewe na kuishi kwa furaha milele kwa milele. Huwezi tu kujibu wito wako na halafu kila kitu kinaenda njia yako.
Kutumikia dunia, lazima ukabiliane na dunia. Lazima uwe na ujasiri wa kukabiliana na dunia na hali halisi yake. Lazima ujenga nguvu ndani yako ya kufanya hivyo na kuchanga kitu duniani ambacho dunia haiwezi kujichangia, kitu ambacho ni muhimu ambacho hakipatikani, jambo ambalo watu wengine hawawezi kufanya au hawataki kufanya. Usiahirishe kwa wengine hapa, kwa maana ni wewe ambaye unaitwa.
Hii ni maana ya wito – dhamira na wito. Kuitwa ni kuitwa nje ya yale ya kawaida, nje ya maeneo unaishi, nje ya kile kila mtu anafanya, anafikiri na ana wasiwasi nacho, ni hatua nje ya mstari, ni kuitwa mbali na maisha yako ya kawaida kwa kutosha ili uwe na uwezo wa kupata hekima kubwa na ufunuo.
Dhamira kubwa basi ni nini ila kuchukua nafasi kubwa zaidi ya shughuli zako za kawaida na kutumikia kitu ambacho kimo zaidi ya maslahi ya kibinafsi na kujiinua kibinafsi? Kujibu Ufunuo basi ni maandamano kamili ya mambo haya.
Kwa kuwa wale ambao hawawezi au hawataki kushuhudia Ufunuo, vile ikuavyo hawana nguvu kubwa  wanayohitaji na hawana nguvu ya kutosha ya Knowledge, au wanaogopa kukivuka kizingiti ili waweze kuwa wawasiliana wa kweli duniani badala ya kuwa mtu ambaye amejitoa katika dunia na ana hofu kwa duniani na ni anajaribu kuyalinda yale aliye nayo kutoka duniani.
Sio kila mtu aliye tayari kufanya hivyo katika wakati huu, lakini hii ndio njia ambayo kila mtu ataifuata. Unasimamia kitu fulani. Na maandamano yako lazima yawe ya kweli na siyo tu ya kisaikolojia. Ni lazima ikamatike na si tu katika eleo ya mawazo. Lazima ufanye kafara kwa sababu yake. Lazima uwache mambo kwa sababu yake. Lazima uhatarishe  mambo kwa sababu yake. Na hii ndiyo inatofautisha wale ambao wito wao ni wa kweli na wenye nguvu kutoka kwa wale ambao wanajifanya au ni dhaifu mno kuweza kutoa jibu kikamilifu.
Mtume yuko duniani. Ni nani atamushuhudia, kulingana na nguvu ya utambuzi wao? Ni nani atachukua nafasi ya kuzungumza na wengine? Ni nani ataruhusu maisha yao iwekwe katika fomu ingine na Knowledge, ataruhusu vipaumbele vyake vibadilike kwa kawaida, ataruhusu mawazo yake yawe sare, ya nguvu na ya kupenya? Ni nani ataruhusu maisha yake ibadilishwe na apitie vipindi hivyo vya kutokuwa na uhakika kwa kuwa hiki kitahitajika njiani?
Hakika sio  mtu yule ambaye lazima ahisi kwamba lazima awe katika udhibiti wakati wote, ambaye uhakika wake una msingi kutoka kwa nguvu ya imani yake na mawazo na uimara wa maisha yake. Hana imani au uaminifu wa kibinafsi wa kupitia mchakato wowote halisi wa maandalizi, ambayo itawaleta katika hali ya kutokuwa na uhakika na kuvunja regimentation yake ya uongo na madhara.
Waroho hawatafanya kazi hii, kwa maana inhatarisha mambo yale wanajaribu kuyapata. Watajaribu kutumia ufunuo wa Mungu kujitajirisha kisiasa, kijamii, kiuchumi, hata kiroho. Lakini hawatakuwa watetezi wa kweli. Hawatamushuhudia Mtume kwa sababu wanataka kila mtu awashuhudie.
Hii sio hamu au nia ya Mtume, kuvuta nadhari ya watu kwake. Yeye ni mtu mnyenyekevu. Hatafuti utambuzi kama huo, na hii ni sehemu moja ya sababu yeye alichaguliwa kuwa mwakilishi wa Mungu katika enzi hii ya maendeleo ya binadamu.
Watamani na waroho kamwe hawachaguliwi, kwa maana hao sio waaminifu. Hawana utambuzi au uaminifu wa kibinafsi kwa kuchukua uwajibikaji mkubwa. Unyenyekevu ni matunda ya uaminifu na huruma, mambo mawili ambayo waroho bado hawamiliki.
Kweli lazima Mtume achinjwe katika mikono ya upinzani wakati wafuasi wake wa kweli wanabaki bubu, wanakimya na ni wadhaifu? Je Ufunuo Mpya utaharibiwa na utakanwa wakati wale ambao wanachaguliwa kuwa mashahidi wake wanakaa kimya na kuwa withdrawn, wanajihofia?
Kufikiri Mtume anaweza kuwasiliana kila kitu na kujibu kila kitu ni kuuweka mzigo ule hauwezekani kwake, kwa kuwa yeye ni lazima awe na washahidi wengi katika sehemu nyingi. Na ni lazima wawe makini kama wanaishi katika nchi ambazo zina ukandamizaji wa kisiasa au kidini. Lazima wafanye mazoezi ya utambuzi mkubwa na busara pale ambapo wanashiriki Ufunuo.
Kifodini sio mkazo hapa. Ni mawasiliano. Ni uhusiano. Ni kueneza Ufunuo – juu ya ardhi au chini ya ardhi, kutegemeana na mazingira ya kisiasa, kijamii na kidini ambapo wanaishi.
Lakini mawasiliano na uhusiano lazima iongezewa na ipanuliwe. Haitoshi kuwa muumini wa dhati, kwa kuwa lazima itafsiriwe kwa vitendo, sio tu kwa kufanya maisha yako upya na kuichunguza tena, lakini pia na kuwa ushahidi kwa yale ambayo ni chanzo cha marejesho ya ajabu ya mtu.
Hii itatenganisha washiriki wa kweli kutoka kwa watu wengine ambao ni wadhaifu mno na hawezi kuepuka wasiwasi wa kibinafsi.
Basi wacha hii iwe msingi wa uelewa wako wa wengine ambao wanaojibu. Kitu muhimu ni kile ambacho wanakifanya, sio kile wanachokisema au kukitangaza katika wakati fulani. Wataruhusu maisha yao kwa kweli ibadilishwe, itengenezwe kulingana na Ufunuo na kwa nguvu ya Knowledge ndani yao? Watashuhudia Mtume kama kitendo cha mchango wa papo kwa papo na asili? Ama watabaki nyuma wakipanga jinsi wanaweza kufaidika bila kulipa bei yoyote au kuchukua tahadhari yoyote?
Hii ni sehemu ya mzigo wa Mtume, maana hata miongoni mwa wale ambao wanaonekana wanajibu vyema, bado kuna hatari. Mmoja ambaye atamsaliti Mtume atatoka kwa safu ya wafuasi wake. Mwanafunzi asiyeguswa au aliyeshindwa, badala ya kuchukua jukumu kwa matatizo na mapungufu yao wenyewe, watamukana au kupunguza Ujumbe na Mtume. Hili hutokea mara yote katika wakati wa Ufunuo. Utaona hili likitokea.
Jibu lako kwa Ufunuo ni jibu kwa maisha na Chanzo cha maisha. Linaonyesha uwezo wote wako na udhaifu wako. Linaonyesha mvuto ule wa maisha yako ulio wa faida na wa hatari, katika kukabiliana na Ufunuo, hakuna ardhi neutral. Hii inapolarize watu, kama vile inafaa, kama vile ni lazima, kwa sababu lazima kuwe na matokeo. Kwa mtu ambaye anaonekana hajaguswa au hana haja na Ufunuo basi, huo sio msimamo ulio neutral.
Fikiri wale ambao walishindwa kujibu wakati wa Mitume wakubwa katika siku za kale. Nini walikuwa wakifikiri? Ni kwa namna gani ambayo hawakuweza kuona yaliyo mbele yao? Ni kwa namna gani kuwa hawakuweza kutambua mmoja ambaye aliwaletea ahadi ya maisha makubwa? Ni kwa namna gani waliweza kusimama na kuruhusu Ujumbe na Mtume wawe denigrated?
Aidha neutrality yao ni uelezo wa woga mkubwa, au hao ni wafu kwao wenyewe na kwa dunia, na hawawezi kujibu. Hawawezi kuwajibika, kwa maana hao hawawezi kujibu.
Mtume lazima atangaze ujumbe Mpya na lazima atambua kile ambacho kinaharibu ustaarabu wa binadamu na mustakabali wa binadamu na uhuru. Mengi ambayo atayasema yatakuwa changamoto sana. Ni yatakutia wasiwasi kwa sababu hivyo ndivyo Ufunuo hufanya; inakutia wasiwasi.
Ufunuo huleta uthibitisho na wasiwasi kwa sababu unahitaji ubadilike. Unahitaji ufikirie maisha yako, ahadi yako na shughuli zako upya. Ni changamoto, sio tu faraja.
Shinikizo iko kwa mpokeaji, sio vile atajibu mara moja, lakini vile atajibu. Jinsi atajibu itasema kila kitu kuhusu mazingira yake, hali yake ya akili na jinsi anajithamini.
Hebu kuwe na mashahidi wengi wa Ujumbe na Mtume. Hebu kuwe na wengi ambao wanaweza kujibu na kupokea zawadi ya maandalizi na kuiitia katika maisha yao na dhamira ya kweli na huruma.
Hebu dunia isikie kile Ufunuo unasema. Waache wasikilize Sauti ya Ufunuo. Wajibu Mtume kwa njia yoyote ambayo wanaweza.
Kuwa gari ya hii, na maisha yako itakuwa adilifu, na dhamira yako itatimizwa, na matunda ya mateso yote na mafanikio yako yote yatakuwa na maana kubwa na thamani kubwa kwa dunia.